Simulizi......"FIRST DAY OF HONEYMOON" 1
Sehem ya..01
Mwandishi..Mathew Amani
Whatsapp....0789378402
Ni heshima kwa kila msichana kuvaa gauni jeupe sku ya harusi na ni matarajio ya kila bibi harusi kufurahia "Fungate " akiwa na mwenzi wake sku ya fungate(honeymoon).Na ni furaha ya kila wanaharusi kuanza maisha mapya ya furaha ya ndoa ambayo hawakuwah kuyafurahia kabla
Debora na james....''
Ni katika kanisa la KKKT kunduch beach mnamo saa nane kamili sku ya jumamosi..Anasikika mchungaji akikiuliza ..Bwana james upo tayar kumuoa Bi Debora kuwa mke wako ...James akajibu ndio ..mchungaj akamgeukia bi harusi..Bi Debora upo tayar kuolewa na Bwana James...Debora akajibu ndio...mchungaj akaendelea James unaahid kuishi na Debora katika shida na raha na kumlinda sku zote za maisha yenu hadi kifo kitakapowatenganisha ..James akajibu ndio "Mungu anisaidie".. mchangaji akarudi kwa bi harusi...Debora upo tayari kuishi na James katika shida na raha na kumlinda had kifo kitakapowatenganisha..Debora akajibu ndio "Mungu anisaidie...
Mchungaji akachukua mkono wa Debora na kumkabidh James aushike na kumvish Debora pete...pia Debora akashika mkono wa james na kumvisha pete..Mchungaji akabariki ndoa ile ibada ikaendelea had ilipomalizika
Baada ya ibada ile Bwana james na Bi Debora walielekea katika ukumbi wa "Kuringe Social Hall" maarufu kwa sherehe uliopo Mbezi ya makonde..ni mida sa nne usku sherehe zikaanza katika ukumbi ule uliofurika Familia za pande mbili ,ndugu ,jamaa na marafiki..hakika Debora na James walitimiza ndoto zao za sku nyingi walizokuwa wakitarajia kwani walikuwa wakipendana sanaa tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi..sherehe ilipendeza sana watu walikunywa na kusaza vya kutosha ..maharusi hao walicheza mziki pamoja ..hakika harus ilikuwa ya aina yake..walipata zawadi za kutosha kutoka kwa jamaa, ndugu, na familia
Maharusi hawa hawakujua kuwa kuna suprises na majanga yanakuja mbele yao sku hyo
Baada ya sherehe kuisha walichukua gari waliloandaliwa na kuchukulia had katika hotel waliyopanga kufanyia Fungate yao (Honeymoon)..Ni mida ya saa saba usku waliweza kufika katika hotel ya "RAMADA HOTEL" iliyopo mbezi ya Afrikana karibu na Jangwan sea beaze..kwa ajir ya Fungate yao
Waliingia ndan ya chumba kilichopambwa na kuandaliwa vizur kwa ajir ya usku mtam wa mahaba baina ya maharusi hao..usku ambao kila mwanaharus anaham nao , kwan kila mmoja ana shauku ya kutaka kuonja radha ya penzi la mwenzie... asikuambie mtu hata mm mwenyew mwandishi naitaman sana hyo sku
Kila mmoja alimtolea mwenzie tabasam la kuashiria wana furaha kila mmoja..James alikuwa na haraka sana ya kutaka kuonja penzi la mke wange Debora na hvyo Debora alimwambia James kuwa yeye ni bikira (alijitunza na hakuwah kuingiliwa na mwanaume yoyote yule )..Debora alimwambia james nmechoka sana mpenz kutokana na mziki tuliocheza pale usku subr nipunzike kwanza afu ntakupatika chochote utakacho mpenzi wangu...James aliwaka kwan alikuwa na ham sana na mwenzie..ila kutokana na kuwa mwelewa aliweza kumuelewa mwenzie na kukubari kumuacha apunzike ..waliweza kulala na kushituka saa moja asubuh..kitu cha kwanza James kuhitaji walipoamka nai penzi la mkewe Debora....
Debora bila kusita alimkubalie mumewe kwan ni haki yake kulipata tena bila kuomba wala mashart..(wanawake mlio olewa mjifunzi hapa ..ni haki ya mumeo kupata penzi lako mda wowote ule bira masharit wala kuomba mlad tu asiende kinyume na inavyotakiwa)..James alianza kumtoma Debora vichuchu vyake vilivyosimama hakila Debora aliumbika sana ( japo tunasema binadam wote tupo sawa , ila ukwel n kwamba kuna baadhi ya wanawake wameumbika sana kulko wengn hakikwa wamependelewa sana na Mungu.. james aliendela kumtomasa huku akimnyonya mate ..Debora alianza kutoa miguno ya kimahaba ilivyomfanya james azidishe utundu zaid kwan mzee huku pemben alikuwa ameshasimama dede..aliendelea kumnyonya kwa dakika kazaa ..akahamia kuzinyonya chuchu tamu za mkewe huyo.. waliandaana kwa takriban nusu saa ndio james alipoamua kumdumbukiza mzee wake kwenye ikulu ya mkewe huyo iliyokuwa ina njaa sana kwan tangu azaliwe haijawah pata chakula..zilisikika saut za miguno tu na makelele kwan Debora aliluwa anasikia raha sana na maumivu kidogo kutokana na kubana kwa ikulu yake hakiwa tendo lile la ndo kila mmoja alilifurahia sana sana kwan kila mmoja alimuenjoy mwenzie...baaada ya kumaliza tendo lile takatifu walilohalarishwa kanisani ( sio wengin mnazini kwan hamjahalalishwa)
James alinyanyuka na kumpongeza mke wake kwa kazi nzur aliyoifanya ..kisha akatazama shuka aone kama litakuwa na dam ..la haula alishangaa sna kuona shuka jeupe halina dam hata kidogo na wakat mke huyo alimuambia kuwa yeye ni bikira...
....unaambiwa usilolijua ni sawa na usku wa giza ...James alibak katika usku wa giza
Je wajua nini kitatokea baina na james na Debora basi usikose sehem ya 2 ...share kuonyesha ushirikiano wako iwafikie watu weng zaid..
No comments
Post a Comment