Mwalimu mkuu simulizi 2
Sehemu ya 2
mtunzi dorotea
********Ilipoishia*******
"AMEEN MWANANGU NITAKUOMBEA"alitamka mama chausiku kwa furaha uku akimkumbatia mwanae
Walipiga story nyingi na kwenda kulala
*********Songa nayoo******
hatimae chausiku alidamka saa kumina moja kasoro alinawa uso na kuchukua jembe lao kuuu na kidumu cha maji kisha aka muaga mama ake
"MAMA MI NAENDA TUTAONANA"alitamka chausiku uku akimchumu mama akee
"AYA MWANANGU KAZI NJEMAA"alizungumza mama chausiku kwa furaha, kisha chausiku alitoka kisha akaelekea shamba bila kujali kigizaa cha muda huo.
*******
Hatimae chausiku alifika alikuta devo ajafika aliwakuta wengine aliwasalimia kisha aka weka kidumu nchini na kuaza kulima ktk sehemu yake na kuaza kulima.
*********
Upande wa mama chausiku aliamka ili akajisaidie aja ndogo ile anatoka alistuka akipigwa na kitu kizito kichwani alipiga kelele na kudondoka nchini alihisi kizunguzungu kisha akazimia. Kumbe kuna vijana walimvamia na kujeruhiwa, wale vibaka waliingia ndani kwa mama chausiku walipekua bila kupata kitu walikasirika "Haaa inamaana hii nyumba aina kitu chochote mmmh??"aliuliza mkuu wa wale vijana
"Bila shaka mkuu tum bakeni maana katutia hasira sana"alitamka kijana mmoja bila uruma kama yule sawa na mama akee mzazi kisha walimuingilia mama chausiku uku ajitambui walimaliza aja zao kisha wakatokomea kusikojulikana.
***********
Mama chausiku alikuwa bado ajapata fahamu, alikuja kustuka alihisi maumivu kichwani na sehemu za sirii "MUNGU KWANN MIMI"aliuliza mama chausiku uku akijiunua alishindwa kujiinua mala pumu zikaaza kumpana aliangaika uku akishikilia mbavu zakee kwa maumivu uku akilia kwa maumivuu makalii pumu ilimpana kwa lisaa limoja bila kupata msaada wowote.
Mama chausiku mwishowe alikata tamaa ya kuishii kisha akasali sala zake za mwisho.
"EEEE MUNGU NIMEKATA TAMAA YA KUISHI MIMI MJA KWAKO KUTOKANA NA UGONJWA HUU WA PUMU KWA MIAKA MINNE LEO NAONA KIFO KINANIKABILI NAOMBA POKEA ROHO YANGU, NA CHAUSIKU MWANANGU PAMBANA NA MAISHA MWANANGU ILOVE YOU CHAUSIKU WANGU MUNGU AKULINDE NA SHIDA ZA MAISHAA AMEEN"alitamka mama chausiku kwa shida kutokana na kubanwa kwa pumu alikohoa na kutokwa damu mdomoni na puani kisha alifuta pumzi ya mwisho alitapatapa na akakata rohoo.
*********
Palipokucha mwili wa mama chausiku ulikuwa pale pale kando ya mlangoni kwake uku mlango ukiwa wazi ili kuwa saa kumi na mbiri na nusu tayari kigiza kiliondolewa na mwanga, wasamalia wema walipita kuwelekea shamba walistuka kumkuta mama chausiku ajitambui uku akitokwa damu puani walimsogelea na kumgusa kifuani walishangaa kusikia mapigo ya moyo ayaendi walim beba na kumpereka zahanati ya kijiji tanga walifika kisha mama chausiku alifanyiwa vipimo na kugundulika alifariki muda tuu ile taalifa iliwafikia wale wasamaria wema walisikitika kwa huzuni kisha waliondoka kuludi kule kwa marehemu mama chausiku kutoa taalifa kwa majiranii.
Walifika kisha walisambaza ile habari majirani walilia na wengine walimtafuta chausiku bila kujua aliko.
**********
Upande wa chausiku akujua kitu chochote nyumbani kwao alilima kisha alijisikia vibaya na kwenda kunywa maji kwenye kidumu chake alichokuja nacho alikunywa lakini wapi bado alihisi vibaya alienda kwa msimamizi wa shamba na kumwambia tatizo lake msimamizi alimuhurumia na kwenda kuangaria sehemu aliyo lima alilizika kisha alimpatia elfu 30
"Pole sana chukua ela hii ikusaidie kwa matumizi saw"akitamka yule msimamizi uku akimbizi chausiku ile ela "ASANTE SANA MUNGU ATAKULIPAA"alitamka chausiku kwa furaha kisha akamuaga devo na kuondoka.
Chausiku alitembea kilometa 10 kutoka shambani na nyumbani kwao alikalibia nyumbani kwao alistuka kuona watu wakijazana alishangaa kusikia vilio "mmmmh kuna nn tena?!'"alijiuliza chausiku kwa mshangao mala alisikia sauti ya shoga wa mama akee aitwae fatma alimuona chausiku alimkimbilia uku akilia
"MAMA CHAUSIKU SHOGA ANGU KWANN UMEKUFA BILA KUTUAGAA"alilia fatma kwa huzuni
Chausiku alistuka kusikia mama ake-amefarikii alidondoka na kuzimiaa.
*********Itaendelea********
Jeee nn kitatokeaa
*WHATSAPP 0713882166 KUJIUNGA GROUP*
No comments
Post a Comment