Followers

Mwalimu mkuu simulizi

Sehemu ya 1

Mtunzi Dorotea Mhokole

********Songa nayoo*******

"MAMA USIFE MAMA NITAISHI VP NA HII MIMBA MAMA"ilikuwa ni sauti ya mdada aitwae chausiku akimwambia mama ake asifee bado anamtegemea  mama ake na mimba yakee

"CHAUSIKU MWANANGU NAJUA MIMI NDIYO TEGEMEZI LAKOO  NILIPAMBANA NA KILIMO ILI USOMEE LAKINI  UMECHEZEA SHIRINGI CHOONI MWANANGU UMESHIKA MIMBA BADO MWAKA MMOJA TUU UMALIZE LAKINI NDO IVYO MWANANGU MIMBA NDO ISHAINGIA SINA BUDI KUKUFUKUZA INGALI UKO MOYONI MWANGU NAKUPENDA MWANANGU CHAUSIKUU ILA SIMJUI ALIE KUPA MIMBAA???"aliuliza mama chausiku kwa taabu

"NIKWERI MAMA UMJUI KWENYE HII MIMBA NI MZEE MMOJA ANAITWA ALINANI YUKO UGANDA APA NILIKUTANA NAE SOKONI NAJUTA MAMA ANGU KUPOTEZA KALAMU MKONONI NA UYO MWANAUME AJAWAI ATA KUNIPA SETI YA ELA ATA MOJA"alizungumzaa chausiku kwa huzunii

"EEEE MUNGU NINA MIKOSI GANI MIMI  ATA MIMI NIMEBEBA MIMBA YA CHAUSIKU MWANAUME KANIKIMBIA  NA MWANANGU NAE KAKIMBIWAA CHAUSIKU MWANANGU NAKUOMBEA UJE  UZAE MTOTO WA KIUME AJEE KUKUKOMBOA MWANANGU"alizungumza mama chausikuu

"MAMA ATA MTOTO WA KIKE NAE MKOMBOZII KWA UWEZO WA MUNGU NAKUPENDA MAMA ANGU"alitamka chausikuu kwa tabasamu.

***********  
Hatimae siku zilisonga mbele mama chausiku alipata uweni kidogo ila kulima alishindwa  na uku chausiku tumbo lake likizidi kukuwa na kisha akienda shamba uku akimuacha mama ake nyumbanii. Chausiku alijitahidi kulima ili kupata chakula cha kujkiimu ye na mama ake ambae ni mgonjwa wa presha na mapavu kubana, kuna siku chausiku alirudi nyumbani na  mboga ya matembele alifika kisha akamkuta mama ake bado kalala alichambua yale matembele kisha alichukua ndoo ya maji na kuwelekea kisimanii alienda alikutana na shoga ake aitwae devo walizidiana miaka mitatu devo mkubwa chausiku mdogo ila walikuwa malafiki kama pete na kidole.

"EEEE CHAUSIKUU VP SHOGA??"aliuliza  devo shoga wa chausiku

"PW DEVOO UNAENDA WAPII???"aliuliza chausikuu

"WEZAKOO TUMEPEWA SHAMBA LA KULIMA NA TAJIRI MMOJA TUMLIMIE MAHINDI NA MPUNGA KASEMA TUWE KUMI TUU  TUNAPEWA ELA SHOGA TWENDE NA WW"alitamka devo kwa furaha

"DEVOTA SHOGA ANGU NA MIMBA HII NIKALIME MAHINDI UNATAKA NIFE MIEE??"aliuliza chausiku kwa msikitikoo

"ACHA UWOGA SHOGA TWENDE UKISHINDWA MI NITAKUSAIDIA ILI UPATE ELA YA KULAA SAWA"alizungumza devo kwa upole ili.asimuuzi shoga ake.

   Chausiku alikubari kwenda ili apate ela ya kula yeye na mama alikumbuka tangu asubui ajara  akaona afazarii akalime ili apate ela ya kula.

Alimwambia shoga ake yuko tayari waende  walienda adi lilipo shamba waliiwakuta watu kama saba wakipangiwa sehemu yao ya kulima na mzee mmoja alie pewa kazi ya kusimamia hayo mashamba. Chausiku na devo nao walipangiwa mashamba yao  ya kulima chausiku alishangaa kuona shamba eka moja "mmmmh nitaweza pekee yangu mie"akiwaza chausiku moyonii
 
"JAMANI KILA MTU  KASHAPANGIWA SEHEMU YAKE KWAIYO KESHO SAA KUMI NA MOJA AFRAJIRI TUWE TUSHAFIKA ADI SAA NANE TUMEMALIZA KULIMA AYA KWAERINII"alitamka mzee wa usimamizi kisha nae akaondoka.
 

*******
Chausiku alipitia maji kisha akaagana na devo kisha kila mtu alipita njia yake, chausiku alifika kwao na akaanza kuwasha moto kwenye jiko la kuni alipika ugarii na matembele ya kushemzmsha kwasababu ya kukosa mafuta na nyanya alipika kisha wakala na walishiba "ASANTE MJUKUU WANGU KWA TEMBELE TAMU "alitamka mama chausiku uku akilishika tumbo la mwanae

"AAAAA MAMA NAE"alizungumza chausiku uku akiachia kicheko

chausiku alimsimulia mama ake kuhusu kazi ya kulima

"MMNNH MWANANGU UTAWEZA KWERI NA KITUMBO ICHOO!!!!??"aliuliza mama chausiku kwa mshangao.
 
"SALA ZAKO TUU MAMA NIOMBEE"alizungumza chausiku kwa uwoga
     
  "AMEEN MWAMANGU NITAKUOMBEA"alitamka mama chausiku kisha akamkumbatia mwanae kwa furaha.

Walipiga story nyingi mwishowe walienda kulala.     
   

***********Itaendelea*********

*WHATSAPP 0713882166 KUJIUNGA GROUP*

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.