Followers

Simulizi......"FIRST DAY OF HONEYMOON 2

Sehem.......ya pili(..02)

Mwandishi..Mathew Amani

Whatsapp ...0789378402

Ilipoishia

James alinyanyuka na kumpongeza mke wake kwa kazi nzur aliyoifanya ..kisha akatazama shuka aone kama litakuwa na dam ..la haula alishangaa sna kuona shuka jeupe halina dam hata kidogo na wakat mke huyo alimuambia kuwa yeye ni bikira...

Songa nayo

Jamesi aling'aka kwa hasira..ni nini hiki Debora?.Nilitegemea ngeona damu ila la...Debora naye alihamaki sana kwan naye pia alitarajia hvyo.. akamjibu mumewe ..mi pia nashangaa James hata sielewi nini kimetokea...Muongo mkubwa wewe James aliwaka... kwann wewe ni binadam wa ajabu hivi kwan hata  ungeniambia kuwa wewe sio bikira bado nngekuoa vilevile..kwanini umenidanganya? Nachukia sana hii tabia...nachukia sana uongo? James alikuwa akiongea kwa hasira sana na hisia

"Lakini sijadanganya" Debora alikuwa akiongea hukua analia .."Mungu ndiye shahidi yangu..mi pia sifahama kwanini imekuwa hivi"... nyamaza malaya mkubwa usiyekuwa na aibu wewe..nilikupenda na kukuamini sana ..hivi ndivyo unavyolipa wema wangu..je nastahili usaliti huu? James alikuwa akiongea kwa uchungu
"Lakin mpenzi niamin, mimi ni bikira naapia kwa Mungu."

Unaweza kunyamaza wewe mwanamke James alifoka ..kutokuwa bikira sio tatizo ..lakini tatizo ni kunidanganya na bado unaendelea kunidanganya hapa"...Debora aliendelea kulia kwa uchungu...

James aliwaa nguo zake na kutoka zake nje ya kile chumba kwa hasira licha y mkewe kuwa analia ila yeye hakujali....Debora alimuita ..."james mme wangu tafadhali subili" tusuluhishe hili tatizo pamoja..james hakujali alisepa zake

"Mungu wangu kwanini mambo yaha ya ajabu yananitokea sku yangu ya kwanza ya ndoa yangu"  nilifikilia bikira huvuja dam sku ya kwanza ya tendo la ndoa lakini kwanini? Kwangu mimi imekuwa tofauti..nilikuomba unipe mume mwema na muelewa umenipa james na kila sku nilikuomba umlinde na uje ulinde ndoa yetu tazama ndoa yangu inataka kuvunjika ,nampenda sana james nakuomba uweze kulainisha moyo wake na uweze kumuongoza..Debora alikuwa akilia huku akiongea na Mungu wake kwan ilikuwa ni kawaida yake kusali na kuomba

Ngoja kidogo nkupe kisa cha Debora na james kukutana kwao

Debora na james walikutana katika chuo kikuu cha Ardhi..Debora alikuwa n msichana mrefu kiasi mweupe kidogo na mrembo sana kiasi kwamba mtu yoyote yule ambaye angepata bahat ya kuwa naye asingependa ampoteze kamwe ..

Alikuwa n mpore sna na mcha Mungu pia alikuwa maarafu sana pale kwan alikuwa ni mwanafunzi anayefanya vizur katika masomo yake...Alijiahidi kuwa hatajiingiza katika mahusiano ya mapenzi hadi atakapomaliza chuo..lakin uamuz wake ulibadilika baada ya kukutana na james  na wote wawili wakajikuta wamependana ..James alikuwa akisomea masomo ya uhasibu katika chuo hiko..walikutana katika seminar room wakati wakipindi cha seminar..hivyo walibadilishana namba na kuanza maongezi na urafk ..mwanzo hawakuwa karibu sana ila jins sku zilivyokuwa zinaenda walizid kupendana na kuahidiana kuoana...kwan wote wawili hawakuwah kuwa na wapenzi tangu wazaliwe  na hawakuwahi kufanya mapenzi hapo kabla..uchumba wao ulikuwa mtakatifu sana...mwaka huo james alimaliza masomo yake na kuajiriwa katika shirika NSSF ....mwaka unaofuata naye Debora alimaliza masomo yake ..mwaka unafuata ndo wakafunga hii  ndoa na kuweza kutimiza ndoto zao

Tuendele

Debora kule ndan alijarbu kumpigia mumewe smu ila haikupokelewa kila alipojarbua kupiga.alibaki analia huku akijisemea moyoni "Ni fungate gani hii iliyobadilisha furaha ya ndoa yangu kuwa huzuni"  .mwishowe akachukua maamuzi ya kumpigia mama yake smu "Mama tafadhali njoo haraka ndoa yangu imewaka moto huku sjui nifanye nini mwanao naangamia"....ndoa gani unayoongelea Debora? ..Mama yake aliuliza ..kwa mshangao...Debora alikata smu ili mama yake asizid kumuuliza maswali zaidi .

.Alivaa nguo na kutoka nje ya chumba kumtafuta mumewe.. alifanikiwa kumuona anazunguka zunguka kwa mawazo ..alimuita mume wangu ..James baada ya kumuona mkewe alimkemea na kumuambia usinipigie kilele utawaamsha wageni wengine waliopo katika vyumba huko..akaondoke pale na kuelekea katika restaurant ambayo watu hupunzikia katika hyo hotel akawa akiangalia Tv..mkewe hakusita alimfata kulekule

Huku mama yake Debora aliendelea kupiga smu kila mara ila smu ilikuwa inaaita had inakata yenyewe .alibak katika taharuki kubwa kwan maneno yale ya mwanae yalimpa wasiwasi san

Kule katika restaurant james aliendelea kutazama Tv hakujar kuwa mkewe yupo pale..mkewe alimshika mkono na kumwambia "nafikiri naweza kueleze juu ya lile tukio"  james aliutoa mkono wa mkewe harala  kana kwamba  ulikuwa unamuunguza..akamwambia kwahyo ulikuwa na maelezo mda mrefu sana ..sasa ulikuwa unanafiki nini kushangaa pale  wakat ulikuwa unajua..je ni kitu gani Utanielezea nkuelewe? Haya niambie .....

"james nnafikili kwamba kuna mtu alinibaka nikiwa mtoto? Abi? Debora  alikuwa akielezea huku akivuta kumbukumbu huku jina la Abi likimjia kichwani.... tazama hapa wewe mwanamke usifikili kwamba unaweza nidanganya kirahisi namna hyo James aliwaka

Debora alimtazama mumewe alimuona ana hasira sana kias kwamba hakuwah kumuona akiwa na hasira kias hcho kabla.., machozi yalianza kumtoka tena kwan aliniona yeye ndo mwenye hatia had mumewe kuwa vile..james hakumtaza kwan hakujari kilio cha mkewe aliona kama kasalitiwa aliumua sana

Baada ya kimya cha mda mfupi .."Debora alimtazama James na kumwambi"  ...james sikia skuwahi kukusaliti wala kufikilia hcho kitu...nilkupenda sana na nakupenda sana ..je nngefaidika na nini kukudanganya wewe kitu ambacho kingevunja ndoa yetu?  Hakuna mwanaume yoyote yule aliyewah kuuona mwili wangu zaid yako wewe leo hii asubuh.
Uliponiacha mwenyew chumban nilifikilia sana na kuona mimi ndo chanzo cha haya yote sababu skuwah kukuambia kabla....

James alimtazama kwa hasira.." kwahyo sasa ndo unataka uweke wazi uovu wako"...kwanini usingesema haya yte kipindi cha uchumba wetu ..sitakusamehe kamwe Debora kwa kuvunja uaminifu niliokuwa nao kwako...machozi yalimtoka James  kwani Debora ndiye msichana pekee aliyewah kumpenda maisha yake yote ..hvyo alishangaa kwanini amsaliti namna hii...Debora alihuzunika sana moyoni baada ya kuona mumewe akilia, aliona yeye ndo chazo cha yote hayo

Debora akamwambia james samahani mume wangu  sio kama nilifanya mapenzi la hasha ..ila kipindi nipo mtoto wa miaka 9 kuna kitu kilitokea  skuwa na uelewa na skuzani kama kingekuja kusababisha haya yte yatokee had kutovuja dam

Kweli? James aliuliza...niamini mume wangu
Mimi na familia yangu tulikuwa tukiishia katika nyumba ya kupanga kwa kipindi hcho..Baada ya kumaliza mitihani yangu ya elimu ya msingi  nilitakiwa nikae nyumban kwa mda kadhaa , huku nikisubili kwenda sekondari,...jiran yetu alikuwa na mtoto wa kiume aitwaye Abi ambaye naye pia alikuwa akisubili kwenda secondari kama mimi

Kwahyo wote wawili tulibaki nyumbani baada ya wazazi kwenda sehem zao za kazi had wanaporudi.....
Mama yangu alikuwa ni mfagiaji wa bank ya CRDB na baba yangu alikuwa ni dereva katika kampuni ya cocacola.... Mama yake abi hakuwa akiishi hapo kwan waliachana na mumewe baada ya migogo, aliondoka na mtoto mchanga mdogo ake Abi na baba yake Abi alikuwa mlinzi  katika kiwanda ya plastic  mara nying  hulinda usku hvyo mchana huwa na sisi nyumbani

Baba yake Abi aliweza kuchukua nafasi hyo kama faida kwake  juu yangu...
Nakumbuka sku moja nikiwa nyumban nmekaa alimtuma Abi aje aniite ...Abi alikuja aliniita , na mimi bila kusita nilienda,.. aliniingiza ndan ya chumba na kufunga mlango  na kunivua nguo zangu zote  akaanzaa..........

   Je wataka kujua nini kilimsibu Debora kipindi yupo mdogo angali ana miaka 9... je baba ake Abi baada ya kumfungia debora na kumvua nguo nini kiliendelea ....  je nini kitaendela baina ya wana ndoa hawa ..bas usikose sehem ya 2 ya simulizi hii ya FIRST DAY OF HONEYMOON   kutoka kwa waandishi mahili Tanzania  si wengine ni wa SIMULIZI ZA KIPEKE

Share kuonyesha ushirikiano wako iwafikie watu wengi zaidii

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.