Followers

Billnass afunguka Idris kutotajwa Mume mtarajiwa wa Wema

Msanii Billnass amejibu baada ya kuhojiwa kuhusu mchekeshaji Idris Slutani kutotajwa kuwa mume mtarajiwa wa Wema Sepetu ambaye alishawahi kuwa naye kwenye mahusiano ya kimapenzi, ambapo Billinass amemshauri Idris kutafuta hela tu kwa sasa kwani alipoteza mahusiano na hela so ni bora atafute kimoja wapo kwasasa.

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.