Followers

Chalse Baba ampa 'Tano' Alikiba kwa hili



Msanii wa Muziki wa dansi katika bendi ya Twanga Pepeta nchini Chalse Baba, ambaye amefunga ndoa hivi karibuni amefunguka kuhusu ujio wa Alikiba kwenye ndoa yake kwani hakujua kama alikuwa kwenye Ukumbi.

Chalse Baba amesema hayo katika ghafla ya siku ya kuzaliwa ya Msanii mwenziye Irene Uwoya iliyofanyika kwenye Ukumbi wa King Solomon Jijini Dar Es Salaam, nakusema kuwa Alikiba amemfanyia 'suprize' kubwa na anamshukuru kama Mwanamuziki mwenzake.

" Nimefurahi kwani Alikiba amenifanyia Suprize sikujua kama yupo kwenye Ukumbi amenifanyia suprize kubwa nimejiskia raha kama Mwanamuziki mwenzangu namshukuru sana na wale wote ambao walikuwepo" alisema Chalse Baba.

Asante kwa kuendelea kutufuatilia 
Supernida inapenda kukutakia heri ya Christmas na mwaka Mpya kwa 
Comment yako na kwa ushauri wowote Karibu danielothmary@gmail.com/0767673288

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.