Followers

Mawandaz: Kijana wajibika na ujitunze

Unahitaji kubadilika kijana
Huu ndio mda wako sasa
Kwanza kwanini ulalamike
Kuwa hunakazi angali unamiliki smartphone ya lakini Tatu
Jitafkari nguo za laki mbili jifkirie wewe amka
Cha ajabu ndani hunakitanda wala vyombo vyovyote vile
Duuuuuuuuujhuuhuuuuuuuuuuuuuuuuduuuuuhhhhhhhhuuuuuu
       Hiyo ni hasara

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.