Followers

Mawandaz:Mambo haya 11 Unapaswa Uyafanye Kabla Ya kutimiza Miaka 30




Mambo 11 unayopaswa kuyafanya kabla hujafikisha miaka 30.
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha.
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye.
3. Usiwe tegemezi kwa wazazi tu
4. Lipa madeni yote ya zamani
5. Jali sana afya yako.
6. Kuwa na marafiki wenye changamoto za maendeleo.
7. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza tu.
8. Acha mambo ya kitoto
9 .Yazamani yote futa anza maisha mapya..
10. Achana na starehe zisizo na maana.
11. Zingatia sana muda wako.
NAKUTAKIA UTEKELEZAJI MWEMA

No comments

Theme images by sandoclr. Powered by Blogger.